Mkurugenzi wa Caribbean Beat
Entertainment Benji Cosmo (katikati) akiongea na waandishi wa habari juu
ya tamasha la kumuenzi hayati Bob Marley linalotarajiwa kufanyika
jumamosi ya wiki hii katika Viwanja Posta jijini Dar es Salaam. Kutoka
kulia ni Ras Magere ambaye ni kiongozi wa 'The Warrios Band', Ras Inno
anayewakilisha 'The Inocent People Band', Jhikoman pamoja na Jonson.
Kikosi cha 'The Warrios Band' kutoka Arusha wakitoa burudani mbele ya waandishi wa habari
No comments:
Post a Comment