Naibu Mkurugenzi wa Mkuu waMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),
Khamis Mdee akifungua mafunzo ya Wahariri Wasanifu wa Vyombo mbalimbali
vya Habari nchini, kuhusu Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Dar es Salaam
asubuhi hii. Kushoto ni Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na
Takwimu, Michael Mhando (kushoto) na Mwenyekiti wa Umoja wa Wahariri
Wasanifu, Laudeni Mwambona.
Mafunzo hayo yataendeshwa kwa siku moja na yanafanyika katika ukumbi wa
Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Kurasini jijini Dar es salaam Dar es
salaam.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wahariri Wasanifu, Laudeni Mwambona (kulia),
akizungumza wakati wa mafunzo hayo, katikati ni Naibu Mkurugenzi wa Mkuu
waMfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),
Khamis Mdee na Kushoto ni Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na
Takwimu, Michael Mhando
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Athuman Rehani
(kulia) akiwa na Ofisa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NHIF/CHF, Grace
Michael.
Mwana vipindi vya afya wa Chanel Ten, Lina Denis (kushoto) akitoa
shukrani kwa NHIF, kuandaa mafunzo hayo muhimu kwa wahariri wasanifu.
Kutoka kulia ni Beda Msimbe wa Habari Leo na Martha Ngwira wa TBC.
Baadhi ya maofisa wa NHIF,CHF wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mafunzo hayo.
Sehemu ya Wahari Wasanifu wakiwa katika mafunzo hayo.Kutoka kulia ni
Noor Shija wa gazeti la Uhuru, Jane Mathias wa Nipashe na Boniface
Luhanga wa Nipashe.
Wahariri wasanifu wakiwa katika warsha hiyo kutoka kushoto ni Lina
Denis wa Chanel Ten, Martha Ngwira wa TBC na Beda Msimbe wa Habari
Leo.
Hapa wakielekea kupiga picha.
Naibu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Khimis
Mdee (katikati mbele) na viongozi wengine wa mfuko huo, wakiwa katika
picha ya pamoja na Wahariri Wasanifu.
No comments:
Post a Comment