Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa msingi wa jengo la kituo kipya cha Malamba wilayani Mkinga.
Mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi.Mhe.Mboni
Mgaza akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya ya Mkinga
uliofanyika katika ukumbi wa World Vision Manza wilayani Mkinga.
Baadhi ya maofisa wa CCM wakiwa katika mkutano huo kuanzia kushoto ni Edward Mpogole, Mzee Msami Gifti Msuyana Adam Mzee.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Mkinga wakiwa katika mkutano huo.
Katibu
wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwasalimia wananchi
wa kata ya Duga kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Maforoni wilaya ya Mkinga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia na kuzungumza na wananchi wa kata ya Duga kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga mara baada ya kuwasili kijijini hapo.
Diwani wa kata ya Duga Bw. Ali Ali akizungumza na wapiga kura wake katika kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga.
Mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi.Mhe.Mboni
Mgaza akijibu baadhi ya maswali mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana wakati katibu mkuu huyo alipozungumza na wananchi
katika kijiji cha Maforo wilayani Mkinga.
TAN

Bayport

Kikoa

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Wednesday, October 1, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment