Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel akiongea na wahitimu wa program ya kujitolea ya
Vyuo Vikuu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Mkurugenzi Mkazi wa VSO International Tanzania Bw. Jean Van Wetter
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel aleyekaa katikati katika picha ya Pamoja na
wahitimu wa Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu
katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa
VSO International Tanzania Bw. Jean Van Wetter.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel katikati akimpa Cheti Dada Ndidi Tumpe wakati wa
kuhitimisha Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu
katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa
VSO International Tanzania Bw. Jean Van Wetter.
Picha na Benjamin Sawe
No comments:
Post a Comment