Mwenyekiti
wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu Tanzania (TAPIE)
ambaye pia ni Mmilikiwa Shule ya Tusiime Bw. Albert Katagira akizungumza
wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Chama hicho Bw.Kachwamba Ansar na
wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti Bw.Johson Ishengoma.
Mwanachama
wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) ambaye
pia ni mmiliki wa Shule ya Awali na Msingi ya Fortune iliyopo Tabata
Kinyerezi Bw.Hope Kaiza akichangia hoja wakati wa uzinduzi na mkutano wa
kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.
Mwanachama
wa Chama cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) Bw.
Mahamoud Mringo (aliyesimama) akifafanua jambo wakati wa uzinduzi na
mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.Kutoka
kushoto ni Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Albert Katagira na Makamu
Mwenyekiti wake Bw. Johnson Ishengoma.
Baadhi ya
wanachama wa Chama cha Wawekezaji BinafsiBaadhi ya wanachama wa Chama
cha Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) wakifuatilia mada
wakati wa uzinduzi wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.Picha na:
Frank Shija,WHUSM
No comments:
Post a Comment