Mwenyekiti wa mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI), Mark Bomani akimkaribisha Aliyekuwa Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh ili aweze kuzindua ripoti ya mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh akizungumza wakati wa uzinduzia ripoti mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) jijini Dar es Salaam leo.
Aliyekuwa Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ripoti mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI) jijini Dar es Salaam leo akiwa na Mwenyekiti wa mpango wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta (TEITI), Mark Bomani na wengine ni wajumbe wa mpango
wa Uhamasishaji uwazi katika mapato ya Madini, Gesi asilia na Mafuta
(TEITI) wakiwa katika uzinduzi huo jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment