TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Sunday, April 24, 2016
Mkutano Maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi Umefunguliwa na Waziri Mhe. Kairuki
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akimkaribisha
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kufungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Dkt. Ndumbaro ni Mwenyekiti wa Baraza hilo.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) wakati akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (Mstari wa mbele katikati ) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akifunga mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment