TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, February 1, 2015

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MTWARA AFUNGA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MA WASILIANO

1 2
Wawasilishaji kutokakampuniya PUSH OBSERVE Wakiwaelezea maafisa mawasiliano huduma wanazotoa ikiwa ufuatiliaji wa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao yakijamii pia utoaji wa taarifa wajumbe kupitia mitandao ya simu (Bulk messages)

3
Mwenyekiti wa Mudawa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy akitoa taarifa ya utekelezaji wakazi wa chama hicho kwa Maafisa Mawasiliano wakati wa ufungaji wa kikao kazi cha Maafisa ha oleo MkoaniMtwara.
4
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga akiwaeleza Maafisa Mawasiliano Serikalini umuhimu wakuwa na ushirikiano na vyombo vya Habari kwa dhumuni la kuieleza jamii nini serikali inakifanya, pia aliwataka kuendelea kuongeza juhudi katika utendaji kazi kupitia mafunzo waliyoyapata katika kikao kazi hicho.
5
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bw.Johansen Bukwari akiongea na Maafisa Mawasiliano Serikalini ambapo alisisitiza umuhimu wa Maafisa Mawasiliano kutoa taarifa za Serikali kwa Umma.
6
Afisa Mawasiliano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Atley Kuni akitoa neno la Shukrani kwa Kaimu Katibu Tawalawa Mkoa wa Mtwara Bw.Johansen Bukwari.
7
Baadhi ya Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakiwa katika picha ya Pamoja na Kaimu Katibu Tawala Mkoawa Mtwara,Bw.Johansen Bukwari (aliyevaa Kaunda suti) kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene.

No comments:

Post a Comment