TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, February 5, 2015

KIKAO CHA KWANZA CHA BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI – BAGAMOYO KATI YA SHIRIKA LA MAGEREZA NA KAMPUNI YA TARBIM CHAFANYIKA LEO MJINI BAGAMOYO

unnamedX4Mpimaji Ardhi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza,Mrakibu Msaidizi wa Magereza Habibu Yusuph akiwaonesha wajumbe wa Bodi mchoro wa Ramani katika mradi wa ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji cha Gereza Kigongoni kati ya Kampuni ya Tarbim na shirika la Magereza.MAGEKamishina Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Gideon Nkana akiwa na Wajumbe wengine wa Bodi ya mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji Gereza Kigongoni wakikagua eneo la Mradi utakapotekelezwa unnamedX5 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji Gereza Kigongoni mara baada ya Kikao cha kwanza kilichofanyika katika Hoteli ya Green Park iliyopo Mjini Bagamoyo (wa kwanza kulia) ni Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Gideon Nkana(wa tatu kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Magereza John Masunga(

No comments:

Post a Comment