TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 4, 2015

Ujumbe wa Taasisi ya Kijerumani ya Hanns Seidel Foundation watembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma

unnamedKO1Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiwakaribisha ofisini kwake Mkuu wa Taasisi ya Ujerumani iitwayo Hanns Seidel Foundation kwa Afrika na ukanda wa Sahara Bw. Claus Liepert (wa pili kushoto) pamja na mwakilishi mkazi wa taasisi hiyo hapa Tanzania Bi. Julia Gabler (wa kwanza kushoto).
unnamedKO2Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiwa katika mazungumzo na wawakilishi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation Bi. Julia Gabler (wa kwanza kulia) na Bw. Claus Liepert (wa pili kulia).

unnamedKO3Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation ulioongozwa na Mkuu wa Afrika na Kanda ya Sahara Bw. Claus Liepert.
unnamedKO4Mkuu wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation kwa Afrika na kanda ya Sahara Bw. Claus Liepert akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
unnamedKO5Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation Tanzania Bi. Julia Gabler (wa pili kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
unnamedKO6Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiagana na ujumbe kutoka Taasisi ya Hanns Seidel Foundation ulioongozwa na Bw. Claus Liepert (kulia) mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwake.

No comments:

Post a Comment