TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, February 5, 2015

MALIASILI NA UTALII WAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

unnamedk1Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika soko la Marekani Magharibi.
unnamedk2Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao

unnamedk3 
Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani.
unnamedk4Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum chenye kueleze historia ya jjji la Seattle kutoka kwa Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim.
unnamedk5Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika mazungumzo na viongozi wa jiji la Seattle nchini Marekani katika mazungumzo ya namna ya kuongeza watalii nchini kutoka katika jiji hilo.
unnamedk6Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akiongea na Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo ya namna ya kuongeza watalii nchini kutoka katika jiji hilo.

No comments:

Post a Comment