Rais
wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya
Ulinzi hapa Zanzibar wakati wa mapokezi yake mara alipoteremka katika
Boti ya Azam Kilimanjaro 4 akitokea Dar es Salaam kwa ziara ya siku
moja nchini pamoja na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akisalimiana na Viongozi mbali mbali
wakati wa mapokezi yake mara alipoteremka katika Boti ya Azam
Kilimanjaro 4 akitokea Dar es Salaam kwa ziara ya siku moja nchini
pamoja na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck na mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa pamoja wakiwapungia mikono wananchi wakati wa mapokezi huko bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku moja nchini, [Picha na Ikulu.[
Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck(kushoto) akimtambulisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
kwa Viongozi mbali mbali aliofutana nao katika ziara yake hapa nchini
mara baada ya kutemka katika Boti ya Azam leo akitokea Dar es
Salaam,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Mke wa Rais wa Ujerumani Mama Daniela
Schadt (katikati) wakianaglia Ngoma za asili wakati wa mapokezi yao
wakiwa katika ziara ya siku moja wakitokea dar es Salaam leo,[Picha na
Ikulu.]
Mke wa Rais wa Ujerumani Mama
Daniela Schadt akifuatana na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa
Jamii,Vijana Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed (MBM) Bandarini
mara baada ya kuwasili akitokea Dar es Salaam akiwakatika ziara ya siku
moja nchini ya Rais wa Ujerumani,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Mke wa Rais wa Ujerumani Mama Daniela
Schadt (katikati) wakianaglia Ngoma za asili wakati wa mapokezi yao
wakiwa katika ziara ya siku moja wakitokea dar es Salaam leo,[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Rais
wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauckkatika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
alipofika na ujumbe wake leo akiwa katika ziara ya siku moja
nchini,[Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment