USAID yatoa elimu ya lishe Zanzibar
Mkuu
wa Wilaya mjini Unguja ,Bw Abdul Mahmood Mzee (katikati) akisalimiana
na Bw Charles David wa USAID na Bi Rebecca Savoure Mkurugenzi mkazi wa
USAID Tuboreshe Chakula katika viwanja vya Karakana Unguja,wakati wa
uhamasishaji juu ya umuhimu na faida za Virutubishi kwa watoto umri wa
miezi 6 – miaka 5.Kampeni hizi zimefanyika katika wilaya 8 za Tanzania
bara na 2 za visiwani
Mkuu
wa mkoa Mjini Magharibi Unguja,Bw Abdallah Mwinyi Khamis (Kushoto)
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi mkazi wa USAID Tuboreshe
chakula(kulia) Bi Rebecca Savoure wakati wa uzinduzi wa kampeni za
uhamasishaji virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5,kiwa ni
mkakati wa Serikali ya Tanzania,ikishirikiana na USAID Tuboreshe Chakula
kupunguza utapiamlo nchini
Wanafunzi
wa shule za awali waUnguja walishiriki katika sherehe sherehe za
uzinduzi na uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto umri wa miezi
6-miaka5.Watoto hawa ni walengwa wakuu wa matumizi ya virutubishi.
Akina
mama wenye watoto waliohudhuria kampeni za uhamasishaji wa virutubishi
kwa watoto umri wa miezi 6-miaka5.Watoto wadogi ni walengwa wakuu wa
matumizi ya virutubishi.Kampeni hizi zimefanyika katika wilaya kumi za
Tanzania Bara na Visiwani chini ya udhamini wa USAID
Mkurugenzi
mkazi wa shirika la USAID Tuboreshe Chakula, Bi Rebeca Savoure ,akitoa
zawadi ya unga lishe kwa mmoja wa kina mama,mkazi wa Unguja
mjini,katika kampeni za uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto miezi
6-miaka 5,lengo likiwa ni kupunguza utapiamlo nchini
No comments:
Post a Comment