on MARCH 17, 2014 in SIASA
Watu wengi walijitokeza asubuhi kupiga kura na hali ilikuwa ni ya utulivu kabisa na watu wengi waliopiga kura wameishukuru serikali na tume ya uchaguzi kwa kuandaa utaratibu mzuri na kufanyika kwa uchaguzi wenye utulivu..(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KAlENGA)
Mbunge mteule wa jimbo la Kalenga kupitia CCM Bw. Godfrey Mgimwa akipiga picha na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika ofisi za CCM mkoa wa Iringa ambapo wana CCM walifurika kushangilia ushindi huo mnono ambao CCM imeshinda kwa kishindo.
MATOKEO KAMILI HAYA HAPA
No comments:
Post a Comment