TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, January 15, 2014

HANS VAN DER PLYUM KUINOA YANGA,HUU NDIYO WASIFU WAKE

hans-vander-plyum
Kuajairiwa kwa mholanzi Hans Van Der Plyum kunafunga mjadala juu ya nani anakua mrithi wa Ernie Brandts ambaye alisitishiwa mkataba wake mwishoni mwa mwaka jana na kumalizana na uongozi wa klabu ya Yanga kabla ya kurejeja kwao nchini Uholanzi.
Akiongea na mtando rasmi wa klabu ya Young Africans SC mwenyekiti wa kamati ya mashindano Abdallah Bin Kleb amesema kwa pamoja wamekubaliana baada ya kurizika na uwezo na rekodi yake ambayo wanaamini itasaidia kuipeleka timu katika hatua nyingine.
Sisi tumeamua kuingia mkataba na kocha Van der Plyum ili aweze kuisaidia timu yetu kutoka katika hatua iliyo na kwenda mbele zaidi, mtazamo wetu mkubwa ni katika mashindano ya kimataifa hasa Klabu Bingwa kwa kushirikiana na kocha msaidizi mzoefu mwenye elimu ya juu pia ya ukocha nchini Mkwasa tunaamini tufanya vizuri katika Ligi Kuu na Klabu Bingwa Afrika.
Aidha Hans Van der Plyum amesema anashukru uongozi wa Young Africans kwa kumuamini na kumpa nafasi hyo na kuahidi kwa kushirikiana na kocha Mkwasa na Pondamali ambao atakutana nao Uturuki watakiimarisha kikosi na pindi kitaporejea nchini kitakua katika hali nzuri na kucheza soka safi.
Pia kocha huyo mholanzi amesema anamjua vizuri kocha mkuu wa Simba SC Zdravko Logarusic kwani mwaka 2011 alikua akifundisha timu ya Ashanti Gold SC nchini Ghana na walipokutana katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya timu yake ya Berekum Chelsea aliweza kuibuka mbabe kwa kuifunga timu ya Ashanti mabao 4-0 Kwa hisani ya .http://kengete.blogspot.com/

 Huu ndo Wasifu wa Hans Van Der Plyum:

 
CAREER DETAILS
Playing Career
• 18 year goalkeeping career in Eredivisie (Dutch Premier League) and Dutch First Division
• 1965-1967 Wilhelmina SC
• 1967 – 1985 Den Bosch FC
• 1971 Goalkeeper of Dutch National Under-23 Team
Trainer/Coach
• Dutch Eredivisie and First Division
Head Coach:
FC Den Bosch (1993 -1997), Excelsior Rotterdam (1997 – 1998)
Youth/Reserve Team Coach and Assistant First Team Coach:
FC Den Bosch (1990 – 1993)
• Ghana Premier League
(Ashanti Goldfields SC [Now AshantiGold](1998-2001, 2004 -2005), Heart of Lions FC (2002-2003, 2006 – 2007 2010 –2011) , Kessben FC (2008 – 2009) Berekum  Chelsea  (2011 current team).
• Ethiopia Premier League
St. George FC (2003 -2004)
•CAF Champions League
St George FC, Ethiopia (2003-2004)
• CAF Confederation Cup
Ashanti Goldfields SC, Ghana (1999-2000)
• Football Academies
Red Bull Academy 2007 – 2008)
Feyenoord Academy (2009 – 2010)

QUALIFICATION AND COMPETENCY DETAILS

 
 • UEFA  License A. – Certificate Team building. – CAF License B. 
• Fluent in Dutch and English
• Experienced with different cultures and religions

ACHIEVEMENT AND AWARD DETAILS

 
•Total Career:500+ matches for FC Den Bosch in the Dutch National League
•League Cup Final (1993 – 1994) – FC Den Bosch
•Promotion to Dutch Premier League (1994-1995) – FC Den Bosch
•Promotion to the Ghana Premier League (2002 – 2003) – Heart of Lions FC
•Ethiopian Super Cup Winner (2004 – 2005) – St George FC
•CAF Champions League Qualification (2004 – 2005) – St George FC, Ethiopia
•Two-time Qualifier – CAF Confederation Cup (1998 – 2001) – Goldfields SC, Ghana
•CAF Champions League Qualification (2006 – 2007) – Heart of Lions FC, Ghana
•Runners Up – GHALCA Top Four Competition (2006 – 2007) – Heart of Lions FC, Ghana
•Awarded Best Coach in Ghana Premier League (2006 – 2007)
•Awarded Honourary Membership (1992) – FC Den Bosch
•Enzo Ferrari International Youth (Under-18) Tournament Winner in Modena, Italy (1998) – with Shizuoka FC, Japan
•Runners-Up – International Under-17 Tournament for Professional Teams in Tiel, Netherlands 2009) – Feyenoord Academy, Ghana
•Winners – International Under-17 Tournament for Professional Teams in Groesbeek, Holland (2009) – Feyenoord Academy, Ghana
•Loyalty and Sportsmanship Award by the Dutch Football Association for Silver Jubilee (25 years) with FC Den Bosch, Holland
•Supporters Player of the year Award – FC Den Bosch, Holland

Recent Coaching Details
 
•Winners – President’s Cup (Ghana), June 2012 (with Berekum Chelsea FC)
•Ongoing campaign in the final group stages (Money Zone) of the 2011/2012 CAF Champions League with Berekum Chelsea FC  [Group B with Al-Ahly (Egypt),
       Zamalek (Egypt) and TP Mazembe (DR Congo)].

No comments:

Post a Comment