TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 17, 2014

WAKUU WA KAMPUNI YA GAiN WAMTEMBELEA PROF. MAGHEMBE

IMG_0658Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa GAiN, William Blaney (katikati) akizungumza, walipomtembelea Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (hayupo pichani), kulia ni wenzake walioongoza nao na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara  ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko.Ugeni kutoka Kampuni ya Global Aid Network (GAiN) jana ulimtembelea Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe na kuzungumza nae kuhusu utendaji wao wa kazi na mafanikio yao katika kusaidia kukuza sekta ya maji hapa nchini. Kampuni hiyo ya Canada inayoongozwa na William Blaney inahusika na uchimbaji visima vya maji barani Afrika katika nchi za Togo, Benin, Ethiopia, Sudan ya Kusini na Tanzania. Mpaka sasa imeweza kutekeleza uchimbaji wa visima 222 mkoani Lindina 122 kati ya hivyo vikiwa vinatoa huduma ya maji.
IMG_0652

No comments:

Post a Comment