TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, January 17, 2014

WAZIRI DR. FENNELA ALIPOKUTANA NA WAGENI KUTOKA KAMPUNI YA WELI MEDIA NCHINI

IMG_1503 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara akiteta jambo na Mkurugezi wa Kampuni ya Weli Media nchini David Lee wa kwanza kulia, ugeni huo ulimtembelea Mheshimiwa Waziri kuomba eneo kwa ajili ya kufanyia Tamasha litakaloshirikisha wasanii kutoka China na Tanzania.Katikati ni Bwana Juma Mabakila Mkurugenzi wa Kampuni ya Optima Aviation Security Limited
IMG_1505 
Mkurugezi wa Kampuni ya Weli Media nchini David Lee wa kwanza kulia akiongea na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara ambapo ugeni huo ulimuomba Mheshimiwa Waziri eneo kwa ajili ya kufanyia Tamasha litakaloshirikisha wasanii kutoka China na Tanzania Katikati ni Bwana Juma Mabakila Mkurugenzi wa Kampuni ya Optima Aviation Security Limited (Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM)

No comments:

Post a Comment