Kamishna
wa Utawala na Utumishi wa Jeshi la Polisi na Mwenyekiti wa Bodi ya
Usalama wa Raia Saccoss, Kamishna Thobias Andengenye akikata utepe
kuashiria kuanza kwa bahati nasibu ya saccoss hiyo iliyofanyika jana
Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam. Washindi kumi walibahatika
kupata vyerehani na washindi watano walibahatika kupata pikipiki aina
ya boxer. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Sunday, January 12, 2014
POLISI WAJISHINDIA VYEREHANI NA PIKIPIKI
Kamishna
wa Utawala na Utumishi wa Jeshi la Polisi na Mwenyekiti wa Bodi ya
Usalama wa Raia Saccoss, Kamishna Thobias Andengenye akikata utepe
kuashiria kuanza kwa bahati nasibu ya saccoss hiyo iliyofanyika jana
Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam. Washindi kumi walibahatika
kupata vyerehani na washindi watano walibahatika kupata pikipiki aina
ya boxer. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment