TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, January 12, 2014

MTEMVU KUKISAMBARATISHA KIKUNDI CHA VIJANA TISHIO CHA MBWA MWITU TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akihutubia katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya Kata ya YOmbo Kilakala, leo, ambapo aliwaambia kuwa hatolifumbia mamcho  kulitokomeza kundi la  vijana la Mbwa Mwitu linalotishia usalama wa wananchi katika kata hiyo.Kutoka kulia mstari wa mbele ni Diwani wa Viti Maalumu, Wilaya ya Temeke, Mariam Mtemvu. Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Temeke, Rutami  Mabunu,  Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kilakala  na Shomari Lyoto ambaye ni Katibu wa Kata hiyo.
Kada wa CCM, Mwishehe Kilakala akijitambulisha katika mkutano huo.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kata ya Yombo Kilakala wakiwa katika mkutano huo
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Yombo Kilakala, Peter Makoye akitoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho. Kiasi kikubwa cha taarifa hiyo ilikataliwa na wajumbe kwamba haikuwa ya kweli.
Camillius Haule  ambaye ni Katibu wa Uenezi wa Mtaa wa Kiembe Samaki, akielezea jinsi vijana wahalifu wanaoojiita Mbwa Mwiti wanavyotishia usalama wa wananchi katika kata hiyo.
Mjumbe wa Kamati ya Mipango Kata ya Yombo Kilakala, Nasir Kinyogoli, akielezea ubadhilifu wa fedha za Ukimwi na Vicoba katika Kata hiyo.
Asmah Zitiakielezea tatizo la walimu katika Shule ya Msingi Kigunga kuwachapa viboko wanafunzi kwa kukosa fedha za kulipia Tuisheni.
Katibu wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Kata ya Yombo Kilakala,FatumaMgendo akielezea masikitiko  kuhusu kitendo cha walimu wa Shule ya Msingi kwachapa viboko wanafunzi kwa kukosa hela ya kulipia tuisheni.

No comments:

Post a Comment