Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk.Diodorus Kamala na Dk. Sezibera katibu mkuu wa (EAC) wakati wa kuagana
Balozi
mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk.Diodorus Kamala(kushoto)akiongea na
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera
alipoenda kumuaga,Dk Kamala alikuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki wa Tanzania.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kulia) akiagana naBalozi
mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk Diodorus
Kamala(kushoto)aliyemtembelea ili kumuaga,Dk Kamala amewahi kuwa Waziri
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania.
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kushoto)
akimsindikiza Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk Diodorus
Kamala(kulia)aliyemtembelea na kumuaga,Dk Kamala amewahi kuwa Waziri wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Tanzania.Picha Zote na Fibert Rweyemamu
No comments:
Post a Comment