Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwn. Immanuel Humba akifafanua
mbele ya wanahabari kuhusu zoezi la ukaguzi wa vitambulisho kwa
wanachama wake kwenye hospitali na vituo mbalimbali vya kutolea
huduma,kumekuwepo kwa matumizi yasiyo sahihi kwa wanachama wachache
wasio waaminifu,amewataadharisha wanachama watakaobainika watachukuliwa
hatua kali za kisheria.
No comments:
Post a Comment