Rais
Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali washuhudia
awaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto)na wa
Tanzania Dr Hussein Mwinyi wakibadilishana nyaraka huku wa Afrika
Kusini DKT L.N. Sisulu akitazama baada ya mawaziri hao kutiliana saini
ya mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia
kati ya nchi zao.
(PICHA NA IKULU)
Rais
Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
wakishuhudia Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi
(kushoto), wa Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa
Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu wakitiliana saini ya mkataba wa
makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais
Jakaya Kikwete akiongea huku Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali
na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa
Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini
DKT L.N. Sisulu baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa
makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
Rais
Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwa
katika picha ya pamoja na na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe
Jacinto Nyarusi (shoto), wa Afrika Kusini DKT L.N. Sisulu na wa
Tanzania Dkt Hussein Mwinyi baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya
mkataba wa makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya
nchi zao.
Rais
Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiongea
na Mawaziri wa ulinzi wa Msumbiji Bw Filipe Jacinto Nyarusi (shoto), wa
Tanzania Dr Hussein Mwinyi (wa pili kushoto), na wa Afrika Kusini
DKT L.N. Sisulu baada ya mawaziri hao kutiliana saini ya mkataba wa
makubaliano (moU) katika mapambano dhidi ya maharamia kati ya nchi zao.
No comments:
Post a Comment