Mngurumi
amefafanua kuwa baada ya jengo kupakwa rangi linatakiwa kupakwa tena
kila baada ya miaka miwili na kwa mwaka huu zoezi limeanza rasmi Aprili
na limepangwa kuisha mwishoni mwa mwezi Juni.Aidha, Mkurugenzi huyo
ametoa rai kwa wamiliki wa makampuni mbalimbali kutopaka rangi za
matangazo kwenye majengo bila kuthibitishwa na kupewa kibali na
Halmashauri husika kwa kuwa kutokufanya hivyo ni kukiuka sheria za
Mipango Miji.Wamiliki wote wa majengo katika Manispaa ya Ilala
wanatakiwa kupata kibali kutoka katika ofisi ya Halmashauri hiyo ili
kuweza kuweka matangazo mbalimbali katika majengo yoyote yaliyopo kwenye
Manispaa hiyo
No comments:
Post a Comment