Mkuu
wa Wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi, akisaidiana na Mwenyekiti wa
Banki ya Diamond Trust (DTB), Bw. Abdul Samji, kukata utepe katika
uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo la CBD. Kushoto ni Bi. Nasim Devji
Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo nchini, kulia ni Mwakilishi wa Kanda
Maalumu ya Dar es Salaam, Hezron Gyimri. Tawi la CBD linakuwa ni tawi la
25 la benki hiyo nchini Tanzania na la 11 jijini Dar es Salaam.
DTB Tanzania ni mshirika wa mtandao wa maendeleo ya kiuchumi wa Aga Khan - Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) ambao ni sehemu ya mtandao wa maendeleo wa Aga Khan Development Network). DTB Kenya ni miongoni mwa wanahisa muhimu wa DTB Tanzania
No comments:
Post a Comment