Meneja
wa Kituo Cha Utabiri Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Bw.
Samwel Mbuya akizungumza na Waandishi wa Habari Leo Jijini Dar es
salaam kuhusu mwelekeo wa Hali ya joto na mvua katika kipindi cha juni
hadi Agosti 2016 ambapo inatarajiwa kuwa na hali ya baridi kiasi na
vipindi vifupi vya mvua. Kulia ni Afisa Uhusiano wa Mamlaka hiyo Bi
Monica Mutoni
Kwa tarifa ya kina kuhusiana na mwelekeo wa hali ya hewa kwa mkoa wako ingia kwenye tovuti ya TMA www.meteo.go.tz au tembelea ofisi zetu
No comments:
Post a Comment