Wanafunzi wametakiwa kuwa waadilifu pindi wanapomaliza chuo na kwenda
kuingia makazini. Kauli hiyo ameitoa Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri
TAREA, Godwin Msigwa (pichani) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika
mahafali ya umoja wa wanafunzi wa kikiristo wa vyuo vikuu Tanzania
katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) yaliyofanyika weekend
iliyopita.
Mchungaji
wa KKKT akitoa neno wakati wa mahafali ya umoja wa wanafunzi wa
kikiristo wa vyuo vikuu Tanzania katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania
(TIA) yaliyofanyika weekend iliyopita.
Wahitimu
wakifuatilia neno kutoka kwa mchungaji wakati wa mahafali ya umoja wa
wanafunzi wa kikiristo wa vyuo vikuu Tanzania katika Taasisi ya Uhasibu
Tanzania (TIA) yaliyofanyika weekend iliyopita.
Katika neno alililolitoa mchungaji huyu aliwaasa wahitimu kuwa na hofu ya Mungu pindi wanapopewa majukumu ya kazi.
Mgeni
rasmi mwenyekiti wa bodi ya Ushauri TAREA, Godwin Msigwa (wa tatu toka
kushoto) akiserebuka na mchungaji wa KKKT pamoja na wageni waalikwa.
Wahitimu wakijimwaga.
No comments:
Post a Comment