Chumba
cha Globu ya jamii hivi punde kimepokea taarifa ya kifo cha Mume wa
aliyekuwa Waziri wa Serikali ya awamu ya Nne na Mweka Hazina wa CCM Mkoa
wa Morogoro Mhe.Dr.Lucy Nkya amefariki dunia,taarifa zinaeleza kuwa
marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Rest in Peace
Prof.Estomih Nkya
TAARIFA
YA MAZISHI ; Msiba wa mzee wetu Prof E J Nkya Baba Mzazi Wa Mnec Wakili
Jonas Nkya na Mume Wa aliyekuwa waziri wa Jinsia,Watoto na Afya Dr Lucy
Nkya Kwa sasa Upo Nyumbani kwake Morogoro Kilakala, Mazishi yatafanyika
Mkoa Wa Kilimanjaro Machame Siku Ya Jumamosi, Kwa Mtakao pata nafasi
Karibuni Tukamhifadhi Mzee wetu. Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Mahala
Pema, RIP Prof Nkya.
No comments:
Post a Comment