Mtaalamu wa
Teknolojia ya mitambo inayochuja chumvi na baadhi ya madini yasiyotakiwa kwenye
maji Ronny Graul kutoka Kampuni ya TRUNZ ya Uswisi akionyesha jinsi mtambo huo
unavyofanya kazi, wanaomtazama ni baadhi ya wataalamu wa Wizara ya Maji na
Umwagiliaji waliohudhuria mafunzo ya matumizi ya mtambo huo yaliyofanyika Juni
6,2016 Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment