Wanafunzi wa chuo cha kodi(TRA) wakiwa katika ufunguzi wa Jumuiya ya wanafunzi wa Kodi vyuoni katika chuo cha Kodi jijini Dar es Salaam leo.
Amesema
kuwa Jumuiya ya wanafunzi wa kodi vyuoni iliyofunguliwa leo iwe taa kwa
jamii nzima na wanachama wa jumuiya hiyo waweze kutoa elimu ya kodi
watakayoipata kwa wenzao ndani na nje ya mazingira ya chuo.
No comments:
Post a Comment