Wawakilishi
wa Jumuiya ya Sadakatasi ya Uturuki wakiwa na wenyeji wao wa Jumuiya ya
Muzdalifa ya Zanzibar wakiwasili katika kisiwa cha Tumbatu Jongowe kwa
ajili ya kutoa misaada mbalimbali yenye thamani ya shiling milioni kumi
na nane.
Wananchi wa Tumbatu Jongoe wakishusha vipolo vyenye misaada mbalimbali kwaajili ya mwezi Mtukufu wa Ramazani.
Baadhi
ya wazee wa Kisiwa cha Tumbatu Jongoe wakiwa kwenye foleni kwaajili ya
kupokea misada mbalimbali iliyotolewa na Jumuiya ya Sadakatasi ya
Uturuki.
atibu
Mkuu wa Jumuiya ya Sadakatasi ya Uturuki Emrah Eugin akimkabidhi kipolo
chenye Mchele, unga, sukari na mafuta ya kula kwa ajili ya mwezi
Mtukufu wa Ramazan mmoja wa wazee wa Tumbatu Jongoe.
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Sadakatasi ya Uturuki Emrah Eugin wakatikati na
mwenziwe Huseyin Kursun (kushoto) wakiwapa nguo watoto wa Tumbatu Jongoe
ikiwa ni miongoni mwatarati iliyojiwekea Jumuiya hiyo.
No comments:
Post a Comment