Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza na
viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza muda mfupi baada ya kuwasili
wilayani humo akitokea Lushoto, Tanga kabla ya kuelekea Kijiji cha
Kibaranga kufuta hati ya Shamba lililokuwa limetelekezwa na mwekezaji.
Mbunge
wa Jimbo la Muheza mkoani Tanga kilipo kijiji cha Kibaranga, Adadi
Rajabu akizungumza baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, William Lukuvi kuwaelezea wanakijiji hao uamuzi wa Rais Dk John
Pombe Magufuli kufuta hati ya Shamba lililokuwa limetelekezwa na
mwekezaji, kwenye kijiji cha Kibaranga kilichopo wilayani Muheza mkoani
Tanga jana jioni.
No comments:
Post a Comment