TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 26, 2015

Al-Shabaab yapoteza mshambuliaji 1, yaua polisi 1 Kenya

Mshambuliaji mmoja wa kujitoa muhanga ameuawa kaskazini mwa Kenya, baada ya kuripukiwa na bomu alilokuwa akilitega hapo jana. Afisa mmoja wa polisi wa mji wa Mandera, Suleiman Rashid, ameliambia shirika la habari la AP kwamba maafisa waliokuwa kwenye doria waliwakamata washukiwa watano wa kundi la al-Shabaab wakitega bomu barabarani, lakini  mmoja wao akaliripua na kusababisha kifo chake. Juzi Ijumaa, anamgambo wa kundi hilo waliushambulia msafara wa polisi na kumuua afisa mmoja. Msemaji wa al-Shabaab, Sheikh Abdiasis Abu Musab, alisema awali waliliacha gari lililobeba abiria lililokuwa likisindikizwa na polisi hao. Polisi ya Kenya imethibitisha kupoteza askari wake mmoja kwenye mashambulizi hayo.

No comments:

Post a Comment