Nikamuomba ruhusa Mkuu wangu wa kazi, Mhe. Ummy, kuwa nichukue hatua. Akanisikiliza akanielewa. Akaniruhusu. Nikatazama sheria inasemaje kuhusu muda wa kuwasili kazini na utaratibu wake wa hatua za kinidhamu. Nikachukua hatua.Watu wengi walikasirika. Walikerwa. Kila mtu alisema yake. Najua wengine walichukia. Sawa tu. Lakini wajue #HapaKaziTu
No comments:
Post a Comment