Kampuni Ageco Energy & Construction Ltd ni kampuni ya kitanzania inayotoa huduma mbali mbali za ukandarasi ikiwemo ufungaji wa mitambo ya umeme wa jua (solar power) kwa watu binasfi, taasisi za umma, mashirika ya nje, na wateja wengine toka sekta binasfi. Hivi majuzi Ageco ilikamilisha mradi wake wa mwisho wa mwaka kwa kufunga mtambo wa umeme wa sola ujulikanao kitaalamu kama solar hybrid backup system katika hospitali ya Mkoa wa Singida.
TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Saturday, December 26, 2015
KAMPUNI YA AGECO ENERGY & CONSTRUCTION LTD YAFUNGA MWAKA KWA KUFUNGA MTAMBO MKUBWA WA SOLA HOSPITALI YA MKOA SINGIDA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment