Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi) akiangalia eneo la mradi wa kuzalisha umeme Kidatu na kupata maelezo kuhusu faida na changamoto za mradi kutoka kwa Injinia wa TANESCO kituo cha Kidatu Bw. Rajabu Kindunda (wa tatu kulia). Wengine ni wataalamu kutoka Tume ya Mipango na TANESCO.


No comments:
Post a Comment