Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT( Dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegella akimpa baraka ya Christmas mtoto Monica Kasesela huku babake mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela na binti yake Cathelin Kasesela wakishuhudia baada ya kumalizika kwa ibada ya pili katika usharika wa kanisa kuu
Askofu Dr Mdegela akitoa baraka
Mwalimu wa kwaya ya vijana katika kanisa kuu Bw Lupyana Samweli akipokea baraka za Christmas kutoka kwa askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegela leo mara baada ya ibada.
Askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) dayosisi ya Iringa Dr OwdenBurg Mdegela akimpa baraka za Chritmas mlemavu ambae ni mwimbaji maarufu wa kwaya ya vijana kanisa kuu Gift Mwanuka
Askofu Dr Mdegella alitoa kauli hiyo wakati wa ibada hiyo ya christmas iliyofanyika katika kanisa kuu kuwa hadi hapa sasa Bwana Mungu ametusaidia na sio amesaidia uchaguzi tuo hata mambo mengine ambayo tulikuwa tunayataka kwa kuzungusha mikono kuwa mabadiliko sasa yamekuja.
Alisema kuwa Mungu si kaibadilisha Tanzania na kuipa neema katika uchaguzi mkuu pekee kwani kila mtanzania kwa sasa anaona mabadiliko kawaida ukilinganisha na awali kwani wakati wa kampeni watu walikuwa wakizungusha mikono kama ishara ya kutaka mabadiliko na mabadiliko yameanza kuonekana kwani matajiri walikuwa wamejitajirisha mno na masikini walikuwa wamekumbatia umasikini wao .
"Kulikuwepo pengo kubwa kati ya matajiri na masikini kwani matajiri walijitajirisha zaidi na masikini waliendelea kubaki masikini ila sasa kwa kipindi kifupi cha serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dr Magufuli mabadiliko ya kweli yanaonekana "
Askofu Dr Mdegella mbali ya kumpongeza Rais Dr Magufuli kwa utendaji mzuri na baraza lake la mawaziri bado alitaka uzi huu wa kutumbua majibu ambao unaendelea uzidi kukazwa zaidi ili kila mtanzania aweze kufaidi matunda ya nchi yake .
" Sasa ombi langu kwenye watanzania najua Francis Godwin utaandika naomba kila mmoja wetu bila kujali ulimpa kura ama ulimnyima tuzame katika maombi kumwombea Rais wetu ili mabadiliko yaendelee na nchi iwe na amani na maendeleo pamoja na mafanikio ...kwa wale waombolezaji naomba leo kuombeleza kumshukuru Mungu na sisi wote kuungana kumwombea Rais wetu na tarehe 3 Januari 2016 wote kutoa shukurani ya pekee kumshukuru kwa kuvuka salama katika uchaguzi na kuendelea kuona neema hii ya utendaji wa Rais wetu pia kazi ya kutumbua majibu iwe endelevu kwa wakubwa na wadogo ....ukimkamanda mtu mwenye msokoto mmoja wa bangi na kumwacha mwenye gunia la bangi ikome japo sisemi mwenye msokoto mmoja asikamatwe wote washughulikiwi "
Vijana wa kanisa kuu wakiwa katika maombi
Maombi maalumu kwa Taifa la Tanzania
Kwaya kuu wakiimba
Kwaya kuu wakiimba wimbo maalumu
Mkuu wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela kulia akiungana na waumini wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa kanisa kuu kuliombea Taifa na serikali ya Rais Dr John Magufuli
Waumini wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa kanisa kuu wakiliombea Taifa wakati wa ibada ya Chritsmas
Askofu Dr Mdegela akitoa salamu za Christmas leo
Askofu Dr Mdegella akitoa baraka kwa waumini wa kanisa kuu leo

Dereva maarufu wa Taxi eneo la Posta mjini Iringa Bw Sisico akiwa katika vazi la Christmas Na MatukiodaimaBlog

No comments:
Post a Comment