TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Saturday, December 26, 2015

mkazi wa mtaa wa Bugweto kata ya Ibadakuli katika manispaa ya Shinyanga akiwa eneo la tukio baada ya pikipiki aliyokuwa anaendesha kugongana uso kwa uso na gari

 Jafari Ramadhani(20) mkazi wa mtaa wa Bugweto kata ya Ibadakuli katika manispaa ya Shinyanga akiwa eneo la tukio baada ya pikipiki aliyokuwa anaendesha kugongana uso kwa uso na gari ndogo katika barabara ya Mohammed Trans karibu na shule ya msingi Bugoyi B.Licha ya kugongana na pikipiki hiyo,pia mwendesha baiskeli aliyejulikana kwa jina la Peter Machanga amenusurika kufa baada ya kuruka na kuacha baiskeli ikagongwa na gari hilo.Tukio hilo limetokea leo majira ya saa nne asubuhi.Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa dereva wa gari pamoja ubovu wa barabara hiyo ambayo ina mashimo mengi-Picha zote na Marco Maduhu-Malunde1 blog


No comments:

Post a Comment