TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, December 21, 2015
NAIBU WAZIRI WA HABARI AFANYA ZIARA KATIKA VITENGO VYA WIZARA HIYO
: Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene akimuelezea Naibu Waziri Mh. Anastazia Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara yake wakati wa ziara ya Naibu Waziri aliyoifanya Wizarani hapo kujionea utendaji kazi wa Idara ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura akipata maelezo juu ya mradi wa jengo la kituo cha sanaa na utamaduni litakalojengwa Bagamoyo mkoani Pwani,kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya lugha Bi Shani Kitogo kulia akimuelezea Naibu Waziri Mh. Anastazia Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara hiyo wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo alipofanya ziara kukagua utendaji kazi wa Idara za Wizara hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment