Waziri
wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar, Mhe. Nassor Mazrui (kulia)
akizungumza wakati wa Iftari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania Tawi la
Zanzibar kwa ajili ya wateja wake hivi karibuni. Wengine kulia kwake ni baadhi
ya wafanyakazi wa benki hiyo na wateja walioalikwa katika tukio hilo.
Baadhi ya
wafanyakazi
na wateja wa Benki ya Exim Tanzania wakijumuika pamoja akatika Iftari
iliyoandaliwa na benki hiyo Visiwani Zanzibar kwa ajili ya wateja wake.
No comments:
Post a Comment