Viongozi
wakuu wa Umija wa katiba ya wananchi (UKAWA)
wakishikana mikono kuashiria umoja mara baada ya
kuongea na wandishi wa habari kutoa Tamko la Ukawa
kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni
kutoka kulia ni profesa Sfari katibu mkuu wa NCCR
mageuzi Mosena Nyambabe ,mwenyekiti wa chadema
Freeman Mbowe ,Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim
Lipumba,Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Jaqmes Mbatia na
katibu mkuu wa Chadema Wilbrod Slaa , mbunge sakaya
na Itatiro wakiwa nje ya makao makuu ya cuf |
No comments:
Post a Comment