TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, July 29, 2014

MAY WAY ENTERTAINMENT YABOLESHA MASHINDANO YA PEPSI MEYA CUP TANZANIA- NA SASA FAINALI KUBWA ZA PILI JIJINI MWANZA (LOCK CITY) ZINAENDELEA.

Mkurugenzi wa May Way Entertainment ya jijini Dar es Salaam, Mganga Poul Siboka (kushoto) na Meya wa Jiji la Nyamagana. Mabula S.(kulia) na Viongozi wa Pepsi Makao Makuu Mwanza Deport, Wakifuatilia kwa Makini Fainal za Mashindano ya Pepsi Meya Cup, Zinazoendelea Katika Jiji La Mwanza, Ikiwa ni Fainali za Pili kwa Mkoa huo katika Udhamini Mnono wa Pepsi na Meya wa Jiji La Mwanza kata ya Nyamagana Mheshimiwa Mabula, ambao kwa Pamoja wamewezesha Vijana mbali mbali wa jiji hilo kupitia timu zao, kukutana na kufanya michezo ambayo baadae upata zawadi nono ikiwemo Vikombe na Medali kwa Wachezaji, Makocha, na Waamuzi.
 Kombe la Mshindi wa Kwanza
  Jiji la Mwanza linavyoonekana katika Taswira. ya eneo inapofanyika michezo hiyo si mbali na eneo hili
 Baadhi ya Zawadi za Vikombe vitakavyotolewa wakati wa mwisho wa mashindano haya katika mwaka huu wa 2014 Mwanza
 
 Zawadi za washindi wa kwanza hadi wa Tatu
 Ufunguzi ulikuwa kama ifuatavo hapo baadhi
 Watu mbali mbali walifika kushuhudia Ufunguzi
 Baadhi ya Zawadi zingine za mashindano hayo
 Mkurugenzi wa May Way Entertainment ya jijini Dar es Salaam, Mganga Poul Siboka (kushoto)ambao ndiyo waandaaji Wakuu wa Fainali hizo za Kila Mwaka katika Mikoa Yote ya Tanzania Bara kupitia Mameya wa Majiji,
 Mkurugenzi wa May Way Entertainment ya jijini Dar es Salaam, Mganga Poul Siboka (wa pili kushoto)ambao ndiyo waandaaji Wakuu wa Fainali hizo za Kila Mwaka katika Mikoa Yote ya Tanzania Bara kupitia Mameya wa Majiji akifuatilia kwa makini moja ya mechi katika uwanja wa nyamagana jiji mwanza.
 Meya wa jiji la Mwanza Mheshimiwa, Mabula, akifafanua jambo kwa wandishi wakati wa ufunguzi wa fainali hizo jijini ,Mwanza .
 Mkurugenzi wa May Way Entertainment ya jijini Dar es Salaam, Mganga Poul Siboka(Kulia).
 Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mwanza na Vitongoji vyake hapatoshi kila siku kwenye fainali hizo za kila mwaka.
 Washindi wa kila mwaka ufaidi uhondo wa Melemeta ya Vikombe vya Dhahabu
 Mkurugenzi wa May Way Entertainment ya jijini Dar es Salaam, Mganga Poul Siboka  akifurahia jambo wakati wa Mizunguko yake ya Maandalizi ya Michuano hiyo ambayo kwa sasa Imekuwa Gumzo kutokana na Uboreshaji wake wa Kila Hatua ya Kila mwaka na kila Mkoa.
 Mkurugenzi wa May Way Entertainment ya jijini Dar es Salaam, Mganga Poul Siboka  akitoa maelekezo furani kuhusu jambo,  wakati wa  Maandalizi ya Michuano hiyo ambayo pia Vijana Wengi wamejipatia soko la ajira kutokana na Shuguli mbali mbali zinazoendelea kufanywa na wahusika wakuu wa maandalizi, Kampuni na Wadhamini.

(Picha Zote Kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment