Viongozi
wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) cha Dar es salaam
wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni leo
wakikabiliwa na mashtaka ya kutupa ovyo viungo vya binadamu. Wakati
taarifa kamili ikiandaliwa hebu jionee taswira hizi walipofikshwa
mahakamani leo

Watuhumkiwa wakiwa katika gari la polisi

Watuhumiwa wakipanda gari baada ya kusomewa mashitaka

Watuhumiwa wakitoka mahakamani baada ya kusomewa mashitaka

Watuhumiwa wakiwa wanasubiri kuingia mahakamani.
No comments:
Post a Comment