Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete akitoa hotuba yake kwa wakazi wa Kijiji cha Miono,Wilayani
Bagamoyo leo Machi 15,2014,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano ya
Kampeni zake za Uchaguzi huo mdogo wa Jimbo la Chalinze unaotarajiwa
kufanyika Aprili 6,2014.
 |
Meneja
wa Kampeni katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Steven
Kazidi (kulia) akizungumza jambo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la
Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete kabla ya kumpatia kipaza sauti ili
aweze kuzungumza na wanakijiji |
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete akiwapungia mkono wananchi wa Kijiji cha Kimange,Kata ya
Kimange,Wilayani Bagamoyo leo Machi 15,2014, wakati akiwasili kwa ajili
ya Mkutano wa Kampeni zake za Uchaguzi huo mdogo unaotarajiwa kufanyika
Aprili 6,2014.
No comments:
Post a Comment