TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, May 20, 2012

Airtel yafanya utambulisho kabambe wa huduma yao mpya ya Supa 5 ndani ya Coco Beach,jijini Dar

Mmoja wa wasanii wa kufoka foka,aliyejitambulisha kwa jina moja la Rich akimwaga mistari mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.shoo kubwa ya uzinduzi kufanyika kesho jumapili hapo hapo coco beach siku nzima
Baadhi ya timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel wakiuza bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo mapema leo jioni wakati wa kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya Airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya Wasanii wa kikundi cha Kinoko,kutoka Mwananyamala wakitumbuiza jukwaani mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),mapema leo jioni wakati  kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Mmoja wa wafanyakazi kutoka timu ya mauzo ya kampuni ya Airtel akiinadi modem ya Airtel 3.75G yenye kasi zaidi kuliko zote nchini, leo jioni wakati wa kampuni hiyo ,ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya timu ya mauzo kutoka kampuni ya Airtel  wakiuza bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo mapema leo jioni wakati kampuni hiyo ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Baadhi ya Wasanii wa kikundi cha Kinoko,kutoka Mwananyamala wakitumbuiza jukwaani mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),mapema leo jioni wakati  kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Sehemu ya umati wa watu waliofika mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.
Wateja wapya mbalimbali wakiendelea kuhamia Airtel, mapema leo jioni wakati kampuni ya simu za mikononi ya Airtel, ilipokuwa ikifanya utambulisho na uzinduzi  wa huduma  mpya ya airtel/Airtel Super 5 uliofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,jijini Dar.

No comments:

Post a Comment