TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, May 24, 2012

BAADA YA JOHN MNYIKA KUIBUKA KIDEDEA MAHAKAMA KUU LEO

Mbunge wa jimbo la Ubungo CHADEMA Mh. John Mnyika akiwa amebebewa na wanachama wa chama hicho mara baada ya mahakama Kuu ya Tanzania  kumtangaza mshindi katika  kesi ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili  kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Ubungo iliyofunguliwa na mpinzani wake Hawa Ng'humbi wa chama cha CCM.
Wafuasi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mahakama kuu ya Tanzania leo kusikiliza hukumu ya John Mnyika
Jeshi la polisi likihakikisha ulinzi unaimarika katika mahakama hiyo leo
Wafuasi wa CHADEMA wakishangilia katika mahakama kuu ya Tanzania leo mara baada ya hukumu ya John Mnyika kutolewa leo
Jeshi la polisi likiwa kwenye msafara kusindikiza maandamano ya chama hicho kuelekea katika njimbo Ubungo  mara baada ya ushindi huo
Kijana ambaye hakujulikana jina lake akiwa amebebwa baada ya kuanguka kwenye pikipiki
Johni Mnyika akionyesha ishara ya ushindi akiwa na wapambe wake pepembeni wakielekea Ubungo kwa ajili ya mkutano wa hadhara
Hapa safari imenoga wakielekea katika jimbo la umbungo
Waandishi wa habari wakiwa kwenye kupata habari walipowasili katika jimbo la John Mnyika.
John mnyika akiutubia wafuasi wa chama chake katika jimbo lake la Ubungo mara baada ya kuwasil.

No comments:

Post a Comment