Pichani shoto ni Rais mstaafu wa awamu
ya tatu wa Tanzania,Mh Benjamini Mkapa akichangia mada mbalimbali
zilizokuwa zikijadiliwa kwenye mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi
ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika,mapema jana jioni,mkutano huo
umefanyika kwenye moja ya kumbi ya chuo kikuu cha Witwatersrand,
Johannesburg, Afrika Kusini.Pichani kati ni Rais mstaafu Pedro Pires wa
Cape Verde na mwisho ni Rais mstaafu wa Benin,Nicéphore Dieudonné Soglo.
Pichani kulia ni Rais mstaafu wa
Benin,Nicéphore Dieudonné Soglo akifafanua jambo kwa makini wakati wa
mchakato wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa
nchi za Afrika ulipokuwa umepamba moto jioni ya jana,katika mkutano
uliofanyika kweny moja ya kumbi ya chuo kikuu cha Witwatersrand,
Johannesburg, Afrika Kusini mapema leo mchana,Pichani kati ni Rais
mstaafu Pedro Pires wa Cape Verde na Rais wa awamu ya tatu wa
Tanzania,Mh Benjamini Mkapa
Wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia yaliyokuwa yakijili kwenye mkutano huo
Wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia yaliyokuwa yakijili kwenye mkutano huo
Pichani
juu na chini Mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati
karne ya 21 kwa nchi za Afrika ukiendelea ndani ya chuo kikuu cha
Witwatersrand, Johannesburg, Afrika Kusini mapema jana mchana.
Baadhi ya Marais Wastaafu kutoka nchi
mbalimbali za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa kujadili maendeleo ya
matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika.
Kutoka kushoto ni Balozi Charles Stith
ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania,ambaye pia
ni Mratibu mkuu wa mkutano akifafanua jambo kwa wageni waalikwa
mbalimbali waliofika kuhudhuria Mkutano huo mapema jana mchana.
Kutoka kushoto ni Balozi Charles Stith
ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania,Rais Nicéphore
Dieudonné Soglo wa Benin,Rais Amani Abeid Karume wa Zanzibar,Rais Ali
Hassan Mwinyi wa Tanzania,Rais Thambo Mbeki wa Afrika Kusini,Rais
Olusegun Obasanjo wa Nigeria,Rais Pedro Pires wa Cape Verde, Rais
Benjamin Mkapa wa Tanzania na Rais Rupiah Banda wa Zambia wakiwa katika
picha ya pamoja mapema jana mchana kabla ya kuanza mkutano wa kujadili
maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania,Mh Benjamini Mkapa akijadiliana jambo
na Rais Nicéphore Dieudonné Soglo wa Benin walipokuwa wakiwasili kwenye
viunga vya vya chuo kikuu cha Witwatersrand, Johannesburg, Afrika
Kusini mapema jana kwa ajili ya kujadili maendeleo ya matumizi ya
nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika.
Baadhi ya Wahariri wa vyombo vya habari
mbalimbali kutoka nchini Tanzania,wakiwa katika picha ya pamoja nje ya
ukumbi wa kikuu cha Witwatersrand, Johannesburg, Afrika Kusini mapema
jana kwa ajili ya kuripoti mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya
nishati karne ya 21 kwa nchi za Afrika.Shoto ni Yvonne Msemembo (ITV)
,Joseph Kulangwa (Tanzania Standard News Paper),Nestor Mapund,Absolom
Kibanda (Free Media),Mzee Theophili Makunga (Mwananchi Communications),
Muondosha Mfanga (The Guardian) pamoja na Deus Mjatta (ITV).
Baadhi ya Wahariri wa vyombo vya habari
mbalimbali wakijadiliana jambo nje ya ukumbi,kabla ya kuanza kwa Mkutano
huo,Shoto ni Absolom Kibanda (Free Media),Mzee Theophili Makunga
(Mwananchi Communications),Joseph Kulangwa (Tanzania Standard News
Paper), Muondosha Mfanga (The Guardian).
Baadhi ya wanafunzi kutoka vyo
mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mapema janakabla ya kuanza kwa
mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati karne ya 21 kwa
nchi za Afrika,ambao umewashirikisha Marais Wastaafu nane wa Afrika.
No comments:
Post a Comment