Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba
akizungumza na watendaji wakuu wa kampuni ya Vodacom (hawapo pichani)
wakati alipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es salaam
katika ziara maalum ya kujifunza shughuli za mawasiliano nchini. Kulia
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza.
No comments:
Post a Comment