Mkurugenzi
wa kampuni ya LINO Agency ambao ni waandaaji wa Shindano la Redds Miss
Tz Hashimu Lundenga katikati
akizungungumza na warembo wanashiriki shindano la Redds Miss IFM juu ya
vigezo na taratibu za kumpata mshindi kwenye fainali zinazotarajia
kufanyika SINE Club jumamosi ya juma hili,Kulia ni Mwandaaji wa Redds
Miss Dar Inter College na kushoto Ni afisa toka kamati ya Redds Miss
Tanzania.
Msanii wa musiki wa
Kizazi kipya Diyamondi
akielezea namna alivyojiandaa kufanya unyesho kubwa kwenye fainali ya
Redds Miss IFM jumamosi ya juma hili kwenye Ufukwe wa CINE CLUB kulia ni
warembo wa shindano hilo Rosa Damazo ,Waliosimama ni Teressia Issaya
kulia na Caroline Dandu kushoto na Mwalimu wao Estar Wilsoni
No comments:
Post a Comment