|
Katibu
Mkuu Ofis i ya Waziri Mkuu ,Peniel Lyimo (katikati) akifafanua
jambo wakati akitoa taarifa ya malipo ya waathirika ya mabomu ya
Mbagala Mei 22,2012 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar- es
-Salaam alipowasilisha kwa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)
inayoongozwa na Mwenyekiti wake John Cheyo hayupo pichani, (kulia) ni
Mkurugenzi wa Idara ya Kitengo cha Maafa katika Ofisi ya Waziri Mkuu
Meja Jenerali Sylvester Rioba, (kushoto ) Kaimu Katibu Tawala Mkoa
DSM Michael Ole- Mungaya. Tukio la kulipuka kwa mabomu lilitokea mwaka
2009 huko Mbagala Kuu Mkoa wa Dar es Salaam na kusababisha maafa kwa
baadhi ya wakazi.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO). |
Wajumbe wa kamati ya PAC wakiwa kwenye mkutano wa utoaji taarifa ya maafa ya Mabomu Mbagala chini ya Mwenyekiti John Cheyo
Wakiangalia orodha ya malipo ya waathirika wa mabomu ya Mbagala
Muathirika Mzee Steven Gimongi (shoto)
akitoa maelezo alivyoathirika wakati wa mabomu mbele ya Mk wa Kamati ya (
PAC )John Cheyo
Mwenyekiti wa( PAC) John Cheyo (koti)
,MP wa Kigamboni Dk. Faustin Ndugulile (kaunda) pamoja na baadhi ya
wajumbe wa PAC na watenda
Mbunge wa Kigamboni Dr. Faustin Ndugulile (kaunda suti) akiwasikiliza baadhi ya waathirika wa mabomu huko Mbagala Kuu.
No comments:
Post a Comment