TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, May 24, 2012

Maonyesho ya wajasiriamali mnazi mmoja yaendelea


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Charity Food Products ya Mwanza  Sophia Kagose (kushoto ) akionyesha mifuko ya dagaa waliokaagwa njisi walivyo sindikwa kwa utalaam katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja wa kampuni hiyo Favour Dietrich.
 Adelina Aloyce ambaye ni  Mkurugenzi wa Kampuni ya ADE FASHION Designer akiwaonyesha moja ya nguo zake wateja waliofika katika banda lake katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 
Mkurugenzi wa Equator Natural Cosmetics Mrs Liwa akiwaonyesha wateja wake waliofika katika banda lake jinsi ya kutumia Lotion ya kitanzania inayojulikana kwa jina Sanda Luwood, ambayo inatumika kwa kulainisha ngozi vizuri katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Kampuni ya Designer Glass Beads Febronia Mihuwa akimuonyesha  Tula Mkemwa njisi ya kumechisha shanga ya shingoni na mkoba wakati alipotembelea katika banda lake katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment